Njia za kutuunga mkono
CHANGIA MTU MMOJA
Kiungo kilicho chini kitakuelekeza kutazama kesi tofauti, kwa kila kesi kuna kitufe cha kuchangia cha kuchangia. Tafadhali changia, tunathamini mchango wako
KUWA MCHANGIAJI WA KUDUMU
Unaweza kusaidia wenye uhitaji na kutatua matatizo mbalimbali ya jamii kupitia utaratibu rahisi unaokuweza kuchangia kila mwezi. Michango yako itakatwa moja kwa moja.
SHIRIKIANA NASI
Unaweza kushirikiana nasi kwa kujitolea kwenye shughuli mbalimbali za kusaidia wenye uhitaji na kutatua changamoto mbalimbali za jamii. Karibu utueleze namna unayoweza kushirikiana nasi.